FOLLOWERS

Sunday, June 3, 2012

RONALDINHO KUONDOKA FLAMENGO

Kiungo mchezeshaji wa klabu ya soka ya flamengo na timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho Gaucho
Msukuma ndinga wa kimataifa wa klabu ya soka ya flamengo ya nchini Brazil na timu ya taifa ya taifa hilo Ronaldinho Gaucho ameelezwa kuwa ataondoka katika klabu hiyo ya sasa kutokana na kutofurahishwa na mwenendo wa maisha ndani ya klabu hiyo hususani baada ya kutukanwa na Rubro Negro katika mchezo dhidi ya mahasimu wao katika ligi hiyo ya Brazil timu ya internacional.

Ronaldinho mwenye umri wa miaka 32 sasa lakini ameendelea kuwa fiti kwa kipindi kirefu baada ya kurudi nyumbani kwa Brazili amedai kuwa licha ya kutofurahishwa na maisha ndani ya klabu hiyo kwa sasa lakini pia anaidai timu hiyo mshahara wake unaofikia kiasi cha euro 16 milioni.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...