FOLLOWERS

Saturday, August 4, 2012

MAHAFALI : CHUO CHA MAAFISA TABIBU (COTC) MAFINGA

wahitimu wakielekea katika ukumbi, mbele ni mgeni rasmi..anjelista kalalu mkuu wa wilaya ya mufindi(kushoto) na mkuu wa chuo cha COTC mafinga (kulia)
ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya mufindi kulikofanyika sherehe hiyo





mmoja wa wahitimu katika sherehe hiyo bwana DEO

riasala kutoka kwa wahitimu ikosomwa na wawakilishi wa wahitimu hao


meza kuu



sehemu ya umati wa watu waliojitokeza kushuhudia sherehe hiyo
chuo cha maafisa tabibu (COTC) mafinga leo kimefanya mahafali ya 13 kuwaaga wahitimu waliohiymu taaluma hiyo katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya mufindi na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya hiyo mama anjelista kalalu akiwa kama mgeni rasmi katika sherehe hiyo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...