FOLLOWERS

Pictures/Picha


Mwanamuziki Beyonce Knowles akiwa katika pozi katika moja ya maonyesho huko jijini New York
 
mchezaji wa timu ya soka ya LA GALAXY ya Marekani David Beckham akipata chakula cha mchana na mama yake mzazi



Katika maeneo mengi ya tanzania majengo kama haya yanatumika kama sehemu za kuuzia vyakula
Utumikishwwaji wa watoto katika shughuli za shamba kama inavyoonekana katika picha bado ni tatizo katikamaeneo mengi barani afrika
Barabara nyingi amabazo huingizia serikali mapato huko vijijini bado ni mbovu na hazipitiki wakati wa masika
Mmiliki halali wa blogu ya so2 knowledge platform bwana fredy Julius akiwa katika shughuli za uzalishaji mali ( kilimo kwa jembe la mkono)
picha ya unyayo wa maajabu
Mwanamuziki wa hip hop  kutoka Tanzania Nas wa Kitaa katika picha inayoonyesha wimbo wake mpya
Askari wa kike kazini

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...