FOLLOWERS

Saturday, May 5, 2012

DODOSO KWA AJILI YA UTAFITI, MFANO

DODOSO ZA UTAFITI
UTAFITI WA : UTATUAJI WA MATATIZO
MALENGO YA UTAFITI : KUELEWA NAMNA MAKUNDI MBALIMBALI
                                                KATIKA JAMII YANAVYOKUMBANA NA
                                                MATATIZO NA KUYATATUA
NAMBA YA DODOSO : RQ4W&B

JINSIA…….. UMRI……… MAHALI UNAPOSHI KWA SASA……………………..

  1. (a)Je una marafiki? ……………………
(b)Je umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwa rafiki zako?..................
(c)Kama ndio, lilihusiana na nini?........................................................................
………………………………………………………………………………………
(d)Je ulilitatua vipi?.................................................................................................
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

  1. (a)Je una rafiki wa kike/kiume/mchumba/mke/mme/…………………………
(b)Kama ndio, umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwake?.............................
(c)Kama ndio, lilihusiana na nini?.........................................................................
…………………………………………………………………………………….
(d)Je ulitatua vipi?..................................................................................................
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
   
  1. (a)Je unaishi na wazai au walezi? ……………………
(b)Je umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwa kwao?..................
(c)Kama ndio, lilihusiana na nini?.........................................................................
………………………………………………………………………………………
(d)Je ulilitatua vipi?................................................................................................
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

  1. (a)Je unaabudu kanisani au msikitini? ……………………
(b)Je umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwa kiongozi wako wa dini?..........
(c)Kama ndio, lilihusiana na nini?........................................................................
………………………………………………………………………………………
(d)Je ulilitatua vipi?................................................................................................
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

  1. (a)Je unafanya biashara? ……………………
(b)Kama ndio, umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwa wateja wako?...........
(c)Kama ndio, lilihusiana na nini?........................................................................
………………………………………………………………………………………
(d)Je ulilitatua vipi?.................................................................................................
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

  1. (a)Je umeajiriwa katika sekta binafsi au serikalini? ……………………
(b)Je umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwa wafanya kazi wenzioau bosi
      Wako?.....................
(c)Kama ndio, lilihusiana na nini?.........................................................................
………………………………………………………………………………………
(d)Je ulilitatua vipi?.................................................................................................
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

  1. (a)Je una cheo chochote katika kazi unayofanya? ……………………
(b)Kama ndio, ni cheo gani?...............................................
(c)Je umewahi kupata tatizo lolote kutoka kwa wafanyakazi walioko chini
     Yako?............................
(d)Kama ndio, lilihusiana na nini?........................................................................
………………………………………………………………………………………
(e)Je ulitatua vipi?....................................................................................................
            ……………………………………………………………………………………...
            ………………………………………………………………………………………

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...