FOLLOWERS

Sunday, June 3, 2012

BASHAR AL - ASSAD AKANA SERIKALI YAKE KUHUSIKA NA MAUAJI YA HOULA

Raisi wa nchi ya Syria, BASHIR AL ASSAD
Raisi wa Syria Bashir al Assad amekana majeshi ya serikali yake kuhusika na mauaji yaliyotokea katika mji wa Houla ambapo wengi wa waliouawa kati ya watu 100 mnamo usiku wa tarehe 25 na 26 mwezi wa tano walionekana kuwa wamechomwa visu na kupigwa risasi kwa ukaribu. akielezea tukio hilo raisi huyo wa syria alisema kuwa hayo ni mauaji ya kinyama ambayo hata viumbe wa ajabu na hatari hawawezi kuyafanya

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...