FOLLOWERS

Health tips/Dondoo za afya

FOODS FOR PREGNANT WOMEN



Healthy nutrition is important for everyday life, but with pregnancy a mother has to provide nutritional foods for two. Pregnant women require nutritional foods for healthy growth of fetus, but also for overall health of their own bodies. Many foods are nutritional and beneficial to eat while pregnant.

Fresh fruits and vegetables
Fresh fruits and vegetables contain a variety of vitamins a pregnant woman can benefit from, and that she can pass to her growing baby. Vitamin C found in fresh fruits and vegetables helps to build a baby's skeleton.

Iron
During pregnancy, woman's body pumps more blood and supplies it to the fetus. Due to the increased blood volume, a pregnant woman requires additional iron. Iron can be found in foods such as dried fruits, spinach, liver and dark green leafy vegetables.

Calcium
The recommended intake for calcium is 1,200 mg per day. Calcium is needed for baby's bones and teeth, but it also provides calcium for mother's bones. A fetus will draw calcium from mother's bones if not enough calcium is being supplied.

Folic acid
Folic acid can be found in foods such as dark green leafy vegetables, whole grains, liver, dried beans and peas, peanut butter and asparagus.

Protein
Protein helps build baby's body tissues, skeleton and the placenta, and can be found in meat, fish, poultry and eggs, beans, lentils and nuts. Protein foods are recommended at three 2- to 3-oz. servings a day.

Prenatal Vitamins
Prenatal vitamins are important to take throughout the pregnancy. Vitamins such as folic acid, vitamins B-6, C and D, and calcium, copper, iron and zinc are in prenatal vitamins and are essential to healthy fetus growth.



VIJANA NA MAGONJWA YA NGONO.
Kuna athari nyingi ambazo kijana anaweza kukumbana nazo kutokana na kuambukizwa magonjwa mbalimbali ya ngono. Magonjwa ya ngono yasipotibiwa mapema na kwa usahihi yanaweza kusababisha madhara yafuatayo kwa kijana.

Kwa kijana wa kike.
  1. Kuziba kwa mirija ya uzazi ambako kunasababisha aidha mamba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au ugumba.
  2. Maambukizi katika mfuko wa uzazi ambako husababisha aidha kuharibika mamba mara kwa mara, kujifungua kabla ya mamba kutimiza muda wake, kuzaa motto mfu au kuzaa mtoto mwenye maambukizi ya magonjwa ya ngono.
  3. Kupata magonjwa katika viungo muhimu mwilini kama ubongo, moyo na figo.
  4. Kansa ya kizazi
  5. Mabadiliko ya hedhi.
  6. UKIMWI
 Kwa kijana wa kiume
  1. Maambukizi katika kokwa za mbegu za uzazi au kuziba mirija inayopitisha mbegu za uzazi na kuleta utasa.
  2. Kupata matatizo ya kukojoa kwa sababu ya kuziba njia ya mkojo.
  3. Kupata magonjwa katika viungo muhimu mwilini kama ubongo, moyo na figo
  4. Magonjwa katika mishipa ya damu.
  5. Kansa ya uume
  6. Kupungua nguvu za kiume.
  7. UKIMWI
 Nini kijana unapaswa kufanya
  1. Kuwa na tabia ya kutafuta taarifa sahihi za magonjwa ya ngono na kuzisoma kwa ufasaha ili kuepuka maambukizi.
  2. Kutumia huduma za afya zilizopo ili kutibiwa magonjwa ya ngono na kuepuka madhara yatokanayo na tiba isiyo sahihi.
  3. Kufahamu kwamba ni haki yako ya msingi kutumia huduma za afya na kupata matibabu sahihi.
  4. Kuwa jasiri na kujiamini katika kudai haki na kuuliza maswali wahudumu wa afya kuhusu magonjwa ya ngono na matibabu yake.
  5. Kujiunga na makundi rika na kuiomb a serikali kuweka huduma rafiki kwa vijana.
  6. Kujua kuwa ni wajibu wako kuihamasisha jamii katika kudhibiti magonjwa ya ngono.
  7. Kuwa shujaa wa kupimwa afya yako ikiwa ni pamoja na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
 Kumbuka, epuka mambo yafuatayo
  1. Usijinunulie dawa bila ushauri wa dakatari
  2. Dawa utakazoshauriwa na madaktari ni za matumizi yako, usigawane na mwenzio.
  3. Usiache kutumia dawa kama dalili zimepotea.
  4. Maliza dozi ya dawa kama ulivyoelekezwa na daktari.
  5. Dawa zinapatikana katika vituo vya afya bila malipo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...