FOLLOWERS

Sunday, July 15, 2012

MCHEKI BIBI MWENYE MAPENZI YA DHATI NA CHAMA CHAKE

Bibi kizee ambaye ni dhahiri umri wake umekwenda kufikia miaka isiyopungua takribani 80 akiwa ndani ya sare ya CCM tayari kabisa kuhudhuria mkutano wa hadhara wa chama chake

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...