FOLLOWERS

Tuesday, July 3, 2012

KONGAMANO LA UTOTO MTAKATIFU WA YESU KANDA YA KUSINI

Askofu mkuu wa jimbo la songea mhashamu Norbet Mtega akipokea maandamano ya watoto wa shirika la mtoto yesu katika kanisa kuu la hija jijini mbeya

watoto wa shirika la mtoto yesu kanda ya kusini wakiwa katika maandamano ya kongamano la utoto mtakatifu wa yesu jijini mbeya

watoto wakiendelea na maandamano

watoto wa shirika la mtoto yesu kanda ya kusini wakiwa wameshika bango lenye maandishi yanayohusu kongamano lao jijini mbeya

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...