FOLLOWERS

Tuesday, July 3, 2012

MMHH!!! HUU UMISS SASAA

Mmoja wa washiriki wa shindano la Redds Miss Iringa 2012 akipita jukwaaani mbele ya majaji na watazamaji kibao waliohudhuria tamasha hilo mjini Iringa wikendi hii

Mshiriki wa shindano hilo akiwa katika poooozi

Hapa ni washiriki tisa wa shindano la Redds Miss Iringa 2012 wakiwa katika mstari mmoja mnyoofu

2 comments:

Unknown said...

Haaa!hao mamiss waliwapataje mbona igowole hawakuja kha kuna mamiss huku balaa

Unknown said...

hahahhaaaaa..........next time watakuja..WILL YOU BE READY??

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...