FOLLOWERS

Saturday, June 9, 2012

CCM NDANI YA VIWANJA VYA JANGWANI

Wanachama na wakereketwa wa chama cha mapinduzi CCM wakielekea katika viwanja vya jangwani kulikofanywa mkutano wao wa hadhara

Wanachama na wafuasi wa CCm wakiselebuka katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya jangwani leo jioni
Chama cha mapinduzi (CCM) leo kimefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya jangwani jijini DSM na kuhudhuriwa na umati mkubw wa watu. Baadhi ya viongozi wa serikali walihudhuria na kutoa matamkona misimamoya serikali ya CCmkuhusu masuala mbalimabali yanayolikabili taifa kwa hivi sasa

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...