FOLLOWERS

Saturday, June 9, 2012

KICHANGA CHATUPWA JALALANI MBEYA

Mtoto mchanga akiwa ametupwa katika jalala jijini Mbeya
Baadhi ya wakinamama ambao walijitokeza kushuhudia tukio hilo katika jalala wakiwa wamepigwa na butwaa
Katika hali isiyo ya kawaida, kichanga cha muda wa takribani wiki mbili kimeokotwa katika jalala kikiwa kimetupwa na mwanamke ambaye hakujulikana mara moja. Baadhi ya wananchi katika jiji la Mbeya wamelaani tukio hilona kudai kuwa ni unyama uliopita kiasi.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...