WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU KIKOTI MPANDA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kitoa heshima za mwisho kwa marehemu Mhashamu,
Askofu Pascal William Kikoti katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye
kanisa kuu katoliki, jimbo la Mpanda, Septemba 1, 2012.
Mapadri wakiweka kaburini mwili wa
aliyekuwa Askofu wa jimbo la Mpanda Mhashamu Pascal William Kikoti
kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye kanisa kuu la jimbo
Katoliki la Mpada Mjini Mapanda Septemba 1, 2012
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la Askofu Pascal
William Kikoti katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la
Katoliki jimbo la Mpanda mjini Mpanda Septemba 1, 2012. (KWA HISANI YA MJENGWA BLOG)
No comments:
Post a Comment