FOLLOWERS

Sunday, September 2, 2012

Polisi Iringa wajiandaa kuua mkutano wa Chadema Mufindi

MOJA YA GARI ZINAZOTUMIWA KATIKA VUGUVUGU LA MABADILIKO (MOVEMENT FOR CHANGE) LIKIWA KATIKA HOTEL YA SUNRISE MAFINGA MJINI
Jeshi la polisi mkoani Irinaga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wameshindwa kufikia maafikiano kuhusu makubaliano ya awali ya kuanza kwa mikutano yao baada ya kumalizika kwa zoezi la sensa ya watu na makazi.

Wakati jeshi la polisi wakitaka chadema kusubiri hadi tarehe 8 mwezi huu baada ya muda wa sensa kungezwa chadema wanasema mkutano wao ambao umepangwa kufanyika Mafinga wilayani Mufindi upo palepale.

Kauli za Viongozi

RPC iringa, Michael Kamuhanda.


-nina digrii ya maswala ya kipolisi, chadema hawawezi kutushinda.

-wasipotii agizo letu nakufanya mkutano wao mafinga tutumia uwezo wetu wote kuhakikisha tunawadhibiti.

Benson Kigaila.........


Wamezuia mkutano wetu kwa kisingizio cha sensa, wakati bububu zanziba leo kuta uzinduzi wa kampeni za uchaguzi,je huko hakuna sensa?


-Liwalo na liwe mkutano leo lazima ufanyike mafinga.


Dk. slaa........


kauli ya Benson ndo msimamo wa chadema.


-Nilionge na IGP jana kumweleza kuwa tulikubaliana kistaarabu kwahiyo aheshimu makubaliano.

-Mkutano wetu leo Mafinga lazima ufanyike tumechoshwa na ukandamizaji wa Jeshi la poisi.

My take.........

Kama kweli mkutano utafanyika mafinga maafa huenda yakawa makubwa kuliko ilivyokuwa morogoro kwani tayari magari 8 ya polisi yameshakwenda mafinga kupambana na lolote litakalotokea.......

.....CHANZO : JAMII FORUMS

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...