FOLLOWERS

Sunday, September 2, 2012

PICHA : MAREHEMU DAUDI MWANGOSI AKIFANYIWA VIBAYA NA ASKARI POLISI

Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.

Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.

Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.

Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio

Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.


Chini ni mwili wa marehemu Daudi Mwangosi unavyoonekana baada ya kufumuliwa na risasai za askari polisi      MODS, naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.

Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.


Mkiniruhusu, naziweka hapa, naomba msiunganishe thread yangu plz. ( CHANZO : JAMII FORUMS)


2 comments:

Anonymous said...

JWTZ-Trained to kill Enemy of the country.

POLICE MILITIA-Trained to kill CIVILIANS of the country.

Anonymous said...

Polisi wa nchi hii wengi ni darasa la saba.Miguvu mingi akili hamna kabisaaa...yanatumiwa tu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...