FOLLOWERS

Sunday, September 2, 2012

KWA MATUMIZI HAYA YA MABAVU, KWANINI POLISI WASILAUMIWE?

VURUGU JANA KARIAKOO: Askari Polisi wakimdhibiti mmoja wa vijana waliokamatwa ka
tika vurugu zilizotokea katika mtaa wa Kongo na Mchikichi jijini Dar es Salaam jana kufuatia mgogoro wa kugombea nyumba namba 86 inayomilikiwa na Samiri Said.
Itakuwa Vipi katika matukio mbalimbali ya Picha

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...