FOLLOWERS

Friday, August 31, 2012

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUBUBU : ADC WAREJESHA FOMU ZEC

KUSHOTO NI MGOMBEA Uwakilishi katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Bububu kupitia chama cha ADC, Zuhura Bakar Mohammed, akirejesha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, Ali Rashid Suluhu baada ya kukamilisha taratibu za kuzijaza huko katika ofisi za tume hiyo zilizopo Maisara mjini Zanzibar. (Picha na Haroub Hussein wa kalulungablog Zanzibar).

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...