FOLLOWERS

Monday, July 16, 2012

MWITA WAITARA MBARONI

Afisa wa sera na utafiti CHADEMA makao makuu,Mwita Waitara Mwikwabe,(wa kwanza kulia walioketi) akitoa tamko kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) la CHADEMA kutohusika na mauaji ya mwenyekiti wa umoja wa vijana (CCM) kata ya Ndago jimbo la Iramba Magharibi.

Mwita Waitara akitoka nje ya ofisi baada ya kumaliza kutoa tamko kwa waandishi wa habari. waitara anashikiliwa na polisi kwa kufuatia kifo cha mwnyekiti wa umoja wa vijana CCM, UVCCm katika kata hiyo kufuatia fujo zilizojitokeza

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...