FOLLOWERS

Sunday, July 15, 2012

LORI LA MCHANGA LAGONGA PRADO MBEYA

 Gari aina ya Prado lenye namba za usajili T720BUV iliyo kuwa inaendeshwa na mama Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo.

Lori lakubeba kifusi cha mawe aina ya Skania Namba T 525ACP  Mali ya Bhanji , lililo katika breki na kushindwa kusimama katika Mteremko wa Nzovwe na kuenda kugonga Gari aina ya Prado ambapo Dereva wa Gari hilo dogo alifariki hapo hapo

Dereva wa lori lililoigonga prado akiwa amelazwa hospitali ya rufaa jijini mbeya

msongamano wa magari uliosababishwa na ajali hiyo kutokana na magari kukosa sehemu mbadala ya kupita

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...