FOLLOWERS

Sunday, July 15, 2012

DIMOSO BARIKI "DIMO" JEMBE LILILOKIPIGA TIMU KIBAO TZ

Dimoso Bariki akiwa Mazoezini akijifua kwajili ya kuendeea kuwa fiti

Mapumzikoni baada ya mtanange katika uwanja wa jamuhuri mjini Dodoma

Dimoso Bariki wa kwanza kushoto akiwa na baadhi ya wachezaji wa timu ya kurugenzi Jesse Nyambo wa kwanza kulia anayetabasamu amabye ni ndugu yake pia baada ya kushinda katika mashindano ya shimiwi mkoani Dodoma na timu ya Kurugenzi

Ndani ya uzi wa chuo cha mipango walipocheza dhidi ya Udom Social Science akiwakilisha chuo chake alipokuwa akisomea shahada ya kwanza

Katika line Up uwanja wa wambi mafinga


MAELEZO KUHUSU DIMOSO BARIKI
JINA KAMILI:Bariki Mbalika
UMRI: Miaka24

TIMU ALIZOWAHI KUCHEZEA
Mkombwe FC – Mafinga
Mucoba FC – Mafinga
Kijiweni Stars – Mbeya
Dodoma – mkoaa wa dodoma ( taifa Cup)
Kurugenzi FC – Mafinga
Lipuli FC – Iringa
Coastal Union - Tanga
 
 

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...