FOLLOWERS

Saturday, July 21, 2012

HARAKATI ZA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI MBEYA KESHO

baadhi ya matanki katika mradi huo wa maji safi amabo utazinduliwa kesho na raisi wa tanzania mhshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete

bango kuubwa likonyesha ujumbe wa tukio hilo lakesho ili kuhamasisha wananchi wa jiji la mbeya wajitokeze kwa wingi zaidi katika shughuli hiyo

maandalizi kwa ajili ya uzinduzi kesho yakiwa katika hatua za mwisho mwisho, hapa mafundi wakipewa maelekezo kuhakikisha shughuli haiharibiki

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...