FOLLOWERS

Monday, July 16, 2012

CHADEMA WALIPOFIKA SAME VIJIJINI

Wanachama na wakereketwa wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) waliohudhuria mkutano wa hadhara wakisikiliza wazungumzaji katika mkutano huo ambapo mmoja ya wazungumzaji alikuwa ni Ally Banaga aliyejiunga na chadema akitokea CCM

Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ally Banaga ambaye alikuwa mmoja wa wazungumzaji katika mkutano huo wa hadhara akitoa neno la ukombozi kwa watanzania jamii ya wafugaji maeneo ya vijiji vya Ruvu Muungano, Same jana...

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...