FOLLOWERS

Sunday, July 15, 2012

AJALI GEITA

Ajali za barabarani zimeendelea kuttoa uhai wa watanzania, katika picha ni ajali ambayo imetokea jioni ya leo katika mkoa wa geita, haijafahamika mara moja ni sehemu gani haswa kwa mujibu wa chanzo cha habri bali inaaminika kuwa watu tusa (9) wamefariki hapo hapo katika eneo la jali...MUNGU AZILAZE PEMA ROHO ZA MAREHEMU AMINA!

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...