FOLLOWERS

Saturday, June 23, 2012

MAKAMU WA RAISI AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BRAZIL

Makamu wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Mohammed Gharib Bilal akiagana na mwenyekiti wa watanzania waishio brazil baada ya kumalizika kwa hafla ya kula chakula cha jioni
Makamu wa raisi akizungumza na vingozi wa watanzania waishio nchini brazili mara walipokutana katika hafla fupi ya chakula cha jioni katika hotel ya Arena Rio de janeiro, kulia ni mke wa makamu wa raisi.
Makamu wa raisi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa umoja huo baada ya mazungumzo kumalizika.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...