FOLLOWERS

Monday, June 11, 2012

DIAMOND NA U FREEMANSON


Msanii Diamond akisalimiana na mmoja wa wadau wake katika moja ya ziara zake nchini Uingereza


SIRI imefichukua kuwa madai kwamba ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a.k.a Wajenzi Huru zilianza kitambo lakini sasa zimeshika kasi baada ya kunaswa kwa picha inayomuonesha akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason, Ijumaa Wikienda linaibumburua

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...