FOLLOWERS

Friday, July 13, 2012

NINI MAFUA YA NGURUWE? WATU BADOOO

Pamoja na mikoa ya Iringa, Mbeya na Ruvuma kupigwa marufuku kusafirisha na kuuza nyama ya nguruwe kutokana na kuelezwa kuwepo kwa mafua ya nguruwe katika maeneo hayo, baadhi ya wananchi wameendelea kujipatia kitoweo hicho bila kujali

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...