Tembo wenye asili ya India wanatumika kuzalisha umeme katika moja ya vituo vya wanyama maarufu kama “zoo” iliyoko huko munich ujerumani. Vinyesi vya tembo hao hukusanywa katika makontena makubwa matatu ambapo kila kontena lina uwezo wa kuchukua mpaka cubic mita 100 za vinyesi hivyo na kisha kutengenezwa gesi inayotokana na mabaki au taka za wanyama hao maarufu kama “ Biogas” ambayo hutumika kuzalisha umeme ambao hutumika katika kituo hicho
No comments:
Post a Comment