FOLLOWERS

Wednesday, January 23, 2013

MAKAMU WA RAISI ATOA MAONI KUHUSU KATIBA MPYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akitoa maoni yake kwa Viongozi wa Tume ya katiba mpya, iliyofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo ikiwa ni sehemu ya jukumu la tume hiyo la kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...