FOLLOWERS

Tuesday, September 11, 2012

MAANDAMANO YA WAANDISHI WA HABARI DAR : WAZIRI NCHIMBI ATIMULIWA

 Kiongozi wa maandamano ya amani ya kimya kimya ya waandishi wa habari, David Meena, akizungumza wakati akihojiwa na wanahabari wenzake kuhusiana na tukio hilo la maandamano, ambapo alisema kuwa wamemtimua waziri nchimbi asishiriki katika maandamano hayo.

Katika maandamano hayo, Waziri Nchimbi amekataliwa kuhuwahutubia wanahabari hao na kuamua kuondoka eneo hilo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...