MAVETERANI wa klabu za Simba na Yanga
waishio eneo la Tabata kesho watakwaana katika mechi maalum ya
kuadhimisha Simba Day ambayo itafanyika katika uwanja wa Tabata Shule.
Mratibu wa mechi hiyo Rodgers Peter
amesema leo kwamba mchezo huo utapigwa asubuhi kabla ya baadaye kwenda
uwanja wa Taifa kuungana na mashabiki wengine wa Simba katika
maadhimisho la Tamasha hilo. |
No comments:
Post a Comment