FOLLOWERS

Friday, August 10, 2012

MSHIKAKI HADI ASKARI POLISI..DUUHH!!

TASWIRA KATIKA FAIFA : askari polisi wakionekana katika picha hii wakiwa wamepanda pikipiki maarufu kwa jina a bodaboda wakiwa watatu maarufu kama mshikaki kitu ambacho si tu ni hatari kwao binafsi bali pia ni uvunjifu wa sheria za usalama barabarani na askari mmoja akiwa hajava kofia ngumu (helment) kama anavyoonekana..msimamiaji wa sheria anapovunja sheria

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...