FOLLOWERS

Sunday, August 12, 2012

ELIMU YETU : CHEKI HILI DARASA

darasa ambalo linatumiwa na kidato cha sita katika moja ya shule za sekondari nchini kama linavyoonekana likiwa limeharibika sakafu..hii ni sehemu kidogo tu ya sakafu hiyo

darasa likiwa na mipasuko na michimbuko katika sakafu, hapa ni kipindi ambacho walimu walikuwa katika mgomo hivyo kusabbaisha mahudhurio hafifu darasani

moja ya mchimbuko uliopo katika darasa hilo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...