FOLLOWERS

Thursday, August 23, 2012

HUTAKI UGALI?..MCHEKI MTASHA ANAVYOWAJIBIKA KUUPIKA HAPA

MWANAMKE WA KIZUNGU AKIWAJIBIKA KUPIKA UGALI AMBAO NI CHAKULA CHA ASILI YA KIAFRIKA KANA KWAMBA NI MWANAMKE KUTOKA MWANZA KWA WASUKUMA..CHA AJABU NI KWAMBA KUNA AKINA DADA WA KIAFRIKA WEENGI TU AMBAO KATIKA UMRI KAMA WAKE HAWAJUI KUUPIKA UGALI

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...