FOLLOWERS

Monday, July 30, 2012

SAKATA LA WAISLAMU KUGOMEA SENSA

KUGOMEA SENSA.
Katika kuhakikisha kuwa zoezi la sensa linagomewa na baadhi ya Waislamu mengi yaibuka.

Tayari baadh ya waliogomea zoezi la sensa wameamua kutengeneza vipeperushi na tisheti zenye jumbe kuhusu wao kugomea sensa...

Watu kadhaa walionekana wakiwa wamevaa tishet hzo pia vipeperush na stka za magari navyo vimesambazwa.

Tishet na vipeperush hvyo zmeandkwa "SISI WAISLAMU HATUHESABIWI SENSA MPAKA KIPENGELE CHA DINI KIWEPO"..CHANZO TANURU LA FIKRA

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...