FOLLOWERS

Thursday, July 19, 2012

RAISI KIKWETE AWAPA MKONO WA POLE WAHANGA WA AJALI YA MELI ZANZIBAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana huko Chumbwe wakati Rais na Mama Salma Kikwete walipowatembelea kuwafariji na kuwapa pole katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo.

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Uwanja wa Maisara, Zanzibar, ambako ndiko miili ya marehemu huletwa kwa utambuzi baada ya kuokolewa kwenye eneo la ajali  leo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...