Wadau mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha bia nchini Tlb
wakitaza sehemu ya mabadiliko ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi muonekano mpya wa
bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam ambapo bia hiyo iliweza
kutambulisha mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano wake huku ladha yake
ikibakia kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali
ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya Monder
Selection.
|
No comments:
Post a Comment