FOLLOWERS

Sunday, July 15, 2012

HUKU HATA AIRTEL BADOO

Jengo la kilabu ya pombe za kienyeji kijiji cha ndolezi wilayani mufindi ambapo si mbali sana na kutoka makao makuu ya wilaya mafinga, ajabu ni kwamba pamoja na kuwa si mbali na mjini bado hawaendi na kasi ya mabadiliko kiasi kwamba bado hata mabango ya nembo mpya ya AIRTEL baada ya kuhama kutokea ZAIN bado hayajawafikia

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...