FOLLOWERS

Sunday, June 3, 2012

UTABIRI WA MICHEL PLATIN EURO 2012

Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya Michel Platin
Bosi wa shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya Michel Platin ametoa utabiri wake kuhusu ni nani anayeweza kuibuka bingwa michuano hiyo mikubwa barani ulaya kwa mwaka 2012. Platin mwenye miaka 56 ambaye amepata kutamba katika enzi zake akiwa na timu ya taifa ya ufaransa ametabiri kuwa UJERUMANI au HISPANIA ndizo timu zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo kwa mwaka huu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...