FOLLOWERS

Sunday, June 3, 2012

DIRK KUYT ATUA FENERBACHE

Kiungo wa timu ya taifa ya Uholanzi Dirk Kuyt
Klabu ya soka ya Fenerbache ya nchini Uturuki imetangaza kuwa imekwishamsainisha kiungo wa liverpool ya Uingereza na timu ya taifa ya Uholanzi Dirk Kuyt mkataba wa kuichezea timu kwa muda wa miaka 3. Akizungumza na waandishi wa habari Kuyt amedai kuwa Fenerbache ni timu sahihi kwake kuendeleza kipaji chake licha ya kuwa wamekosa ubingwa wa ligi, lakini hata hivyo wamefuzu kucheza ligi mabingwa barani ualaya.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...