FOLLOWERS

Tuesday, June 5, 2012

BAJETI YA 2012-2013 YAONGEZEKA TRILIONI 2

Dk William Mgimwa, waziri wa fedha na uchumi

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa, amesema makadirio ya bajeti ya wizara kwa mwaka ujao wa fedha 2012/2013 yanatarajiwa kuwa sh trilioni 15.Hatua hiyo inaashiria kupanda kwa bajeti hiyo kwa trilioni mbili zaidi ya bajeti ya mwaka unaomalizika 2011/2012 iliyokuwa na sh trilioni 13.Jana Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi ilikutana na watendaji wa ngazi za juu wa wizara hiyo kwa ajili ya kujadili mwelekeo wa bajeti kwa mwaka ujao wa fedha.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...