- kukarabati jenereta zote za dizeli ambazo zilikuwa hazitumiki katika mikoa ya Arusha, Mara, Tabora, Mbeya, Mwanza na Dodoma..serikali ililipatia shirika la umeme nchini TANESCO fedha kwa ajili ya kazi hii
- kukamilisha mradi wa umeme wa pangani falls
- kuanzisha mradi wa dharura wa kujenga mtambo wenye nguvu ya kuzalisha umeme wa kati ya MW 60 hadi 160, mtambo ambao awali ulitazamiwa kutumia mafuta ya dizeli, lakini hapo baadae ungetumia gesi kutoka songo songo
- kuendelea na upanuzi wa matumizi ya makaa ya mawe kutoka machimbo ya kiwira, na umeme kutoka zambia ambao ulipatikana Mbozi.
- Ujenzi wa mradi wa umeme wa Kihansi mkoani Morogoro
- Utafiti kuhusu uwezekano wa kuunganisha gridi ya taifa na gridi za umeme za nchi za Afrika Mashariki na Afrika ya kati kuongeza nguvu zaidi.
Sunday, October 9, 2011
Mikakati hii ya 1995 haikupunguza mgao wa umeme?
Mnamo mwaka 1995 serikali iliamua kutekeleza mipango ifuatayo kwa ajili ya kupunguza mgao wa umeme nchini..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment