FOLLOWERS

Thursday, October 24, 2013

ROONEY ASHUKURU MSAADA WA FERGUSON KUHUSU UHAMISHO

MSHAMBULIAJI WA MANCHESTER UNITED WAYNE ROONEY AMESHUKURU KAULI YA KUMTETEA ILIYOTOLEWA NA KOCHA WA ZAMANI WA KLABU HIYO SIR ALEX FERGUSON KUHUSU SAKATA LA UHAMISHO WAKE. FERGUSON KAMTETEA ROONEY KUHUSU KUWA ROONEY ALIWASILISHA BARUA YA KUOMBA KURUHUSIWA KUONDOKA KATIKA KLABU HIYO YENYE MASKANI YAKE OLD TRAFFORD...............Though Ferguson describes the former Everton man as "wanting away" in his autobiography, he later clarified that Rooney had not put in a transfer request - a move which would have seen him waive all contractual signing on fees.

"I'm thankful that he's gone back and corrected that I put a transfer request in," Rooney told Sky Sports after Manchester United's 1-0 over Real Sociedad.

"I haven't seen him since I retired and the other stuff doesn't concern me."



No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...