FOLLOWERS

Saturday, August 4, 2012

MTANGAZAJI STAR TV ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI UWT (CCM) TAIFA

Mtangazaji wa kipindi cha Mayrose Tv talk show cha star tv Mayrose Kavura Majinge (katikati),akiwa katika picha ya pamoja na mumewe ndg Joseph Kusaga Majinge nje ya jengo la CCM makao makuu Dodoma mara tu baada ya kuchukua fomu ya mwenyekiti jumuiya ya wanawake wa CCM (UWT) ngazi ya taifa

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...