FOLLOWERS

Sunday, July 29, 2012

UJENZI WA BARABARA BANDARI YA MTWARA HADI ZAMBIA

Hii ndiyo bango la mradi huo wa ujenzi wa barabara inayotoka mnarani hadi bandarini ambayo inasimamiwa na kampuni ya SOUTHERN LINK.
sehemu ya barabara hiyo ikiendelea kujengwa

moja ya mashine ( greda) mali ya kampuni ya southern link ikiwa kazini

bango linaloonyesha kuwa barabara imechepushwa

vifusi vikiwa vimechimbuliwa huku ujenzi wa barabara hiyo ukiwa unaendelea


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...