FOLLOWERS

Saturday, July 7, 2012

UCHAGUZI WA VIONGOZI SOKO KUU MAFINGA

Msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni afisa biashara wa wilaya ya mufindi bwana Raymond Kalinga akisoma matokeo ya uchaguzi baada ya zoezi la upigaji kura kumalizika katika uwanja wa mashujaa mjini mafinga
mwenyekiti aliyemaliza muda wake bwana Emma Nziku "MADOKUMENTI" wa kwanza kushoto akiwa pamoja na wajumbe wake wa kamati ya utendaji iliyomaliza muda wake hapo jana tarehe 06.07

Baadhi ya wafanya biashara wa soko kuu mafinga waliofika uwanja wa mashujaa kwa ajili ya zoezi la uchaguzi
Mwenyekiti aliyemaliza muda wake akitoa neno la shukrani kabla ya kuvunja kamati yake ya utendaji na kuwaaga rasmi aliokuwa akiwatumikia kwa muda wa miaka mitatu, kushoto mwenye suti ni masoko wa wilaya ya mufindi bwana MTELULA
Mwenyekiti mpya wa soko kuu la mafinga bwana Julisti Kisoma akiwa ameketi na wajumbe wa kamati ya utendaji ya soko mara naada ya kutangazwa rasmi kuwa washindi katika uchaguzi huo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...