FOLLOWERS

Thursday, July 5, 2012

TASWIRA MBALI MBALI ZA STENDI YA MUFINDI - MAFINGA

Taxi kama hii ndiyo usafiri maarufu katika stendi ya  mufindi kwa safari za kuelekea mufindi vijijini, hapa ni stendi maarufu kama "NJIA PANDA YA MUFINDI"
Shughuli mbalimbali za usafirishaji na biashara zikendelea huku kukiwa na baridi kali kama ilivyo kawaida ya wilaya hii kipindi cha miezi kama hii
Muonekano wake kwa kutokea upande wa barabara kuu ya Iringa-Mbeya

Kituo cha mafuta cha Total kilichopo mkabala na stendi hii ya Mufindi

Shughuli za bodaboda pia zimeshka kasi katika eneo hili kama wanavyoonekana baadhi ya madereva wa bodaboda katika picha

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...