ujazaji wa abiria kwa magari madogo ya abiria maarufu kama daladala imekuwa ni kero sana na ya kawaida maeneo mengi ya tanzania. hapa nikiwa ndani ya costa (another g) inayofanya safari zake kati ya iringa na njombe, watu ni nyomii ajabu
pamoja na kuwa gari ilikuwa imejaa hapa bado dereva akasimama kupakia abiria wengine na abiria akapanda licha ya kuona kuwa gari imejaa..cha ajabu hata tulipofika kwa trafik walaa hawakuwa na neno lolote.
No comments:
Post a Comment