FOLLOWERS

Tuesday, July 31, 2012

MGOMO WA WALIMU : IGOWOLE SEKONDARI WANAFUNZI LEO WAMERUDI SAA TANO NA NUSU NYUMBANI

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI IGOWOLE WILAYANI MUFINDI WAKIWA NJIANI KURUDI NYUMBANI MNAMO SAA TANO NA NUSU IKIWA SIYO KAWAIDA KUFUATIA MGOMO WA WALIMU LEO JUMANNE..31 - 07 - 2012



HAKUNA MASOMO, NINI CHA ZAIDI?..NI WANAFUNZI KURUDI NYUMBANI
Wanafunzi wa shule ya sekondari igowole iliyoko kijiji cha igowole wilayani mufindi katika picha mbalimbali wakiwa njiani kurejea majumbani kwao kufuatia mgomo wa walimu ambao umeingia siku ya pili leo jumanne tarehe 31 mwezi wa saba. Pamoja na ukweli kuwa serikali imeshikilia msimamo kuwa mgomo huo ni batili lakini maeneo mengi walimu wameonekana kuunga mkono mgomo huo..kwa kiwango walimu ambao wanaingia madarasani ni wale walioko katika mafunzo kwa vitendo ( FIELD)....habari na picha kama zilivyoshuhudiwa na mpiga picha wetu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...