FOLLOWERS

Sunday, July 29, 2012

MCHEKI RAISI KIWETE ALIPOMTEMBELEA BIBI YAKE : MSOGA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Bibi Antonia Mbagalla (85) katika kijiji cha Msoga, kata ya Chalinze Wilayani Bagamoyo wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki leo (Jumapili). (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...