FOLLOWERS

Saturday, June 16, 2012

ROLI LAACHA NJIA RUNGEMBA - MAFINGA

Roli aina ya Scania likiwa pembezoni mwa barabara iendayo Iringa Mjini eneo la Rungemba baada ya kupata ajaili na kuacha njia
Gari aina ya Scania (roli) leo majira ya jioni limepata ajali maeneo ya Rungemba katika barabara kuu ya Iringa - Mbeya baada ya kuacha njia na kutumbukia kwenye matope pembeni ya barabara hiyo. chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...