FOLLOWERS

Saturday, June 2, 2012

BAN KI MOON AWASILI JEDAH

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon akiwa na wenyeji wake mara baada ya kuwasili JEDDAH
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Bwana Ban Ki Moon amewasili nchini Jeddah kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya mazungumzo ambayo yatahusu namna ya kutokomeza ugaidi katika nchi hiyo, pia akiwa katik nchi hiyo katibu mkuu huyo atahudhuria vikao vingine mbali mbali vitakavyojadili masuala mbali mbali mbali ya kijamii.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...